// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SINGIDA BIG STARS YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0 MANUNGU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SINGIDA BIG STARS YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0 MANUNGU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, October 05, 2023

    SINGIDA BIG STARS YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0 MANUNGU


    BAO pekee la Elvis Rupia dakika ya 43 limeipa Singida Big Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC leo Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro.
    Singida Big Stars inafikisha pointi tano na kusogea nafasi ya nane, wakati Mtibwa Sugar inabaki na pointi zake mbili nafasi ya 14 baada ya wote kucheza mechi nne.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SINGIDA BIG STARS YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0 MANUNGU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top