WACHEZAJI wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, mshambuliaji na Nahodha Mbwana Samatta (kulia) akiwa na beki Abdi Banda (kushoto) wakiwa na Kocha Mualgeria, Adel Amrouche katika msikiti mtukufu wa Makkah, Saudi Arabia kwa ajili ya ibada ya Umrah.
Wachezaji kadhaa wa Taifa Stars ambao ni waumini wa dini ya Kiislam walikwenda Makka baada ya mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Sudan nchini humo jana uliomalizika kwa timu hizo kutoa sare ya 1-1.
0 comments:
Post a Comment