WINGA Mahlatse Manoka ‘SKUDU’ Makudubela akiwa mazoezini na timu yake, Yanga ufukwe wa Coco Beach Jijini Dar es Salaam leo baada ya kurejea kutoka kwao, Afrika Kusini alipokwenda kubadil hati yake ya kusafiria.
Yanga SC inajiandaa na mchezo wa kwanza wa Raundi ya mwisho ya mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya El Merreikh ya Sudan Septemba 15, mwaka huu nchini Rwanda na timu hizo zitarudiana Septemba 29 Dar es Salaam.

0 comments:
Post a Comment