KLABU ya Simba leo imeibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya timu ya Ngome katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba yamefungwa na beki Shomari Kapombe, kiungo Muivory Coast, Aubin Kramo Kouame, washambuliaji Mkongo Jean Othos Baleke mawili, Mcameroon Leandre Willy Essomba Onana na mzawa, Shaaban Iddi Chilunda. Simba SC inajiandaa namchezo wao wa kwanza hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania kucheza 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya wenyeji, Power Dynamos Septemba 16 Uwanja wa Levy Mwanawasa Jijini Ndola.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment