TIMU ya Simba leo imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki leo dhidi ya Kipanga ya Zanzibar Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju Jijini Dar es Salaam.
Mabao ya Simba katika mchezo huo wa kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos Septemba 15 yamefungwa na Moses Phiri, Luis Miquissone na Aubin Kramo Kouamé.
0 comments:
Post a Comment