• HABARI MPYA

        Thursday, September 28, 2023

        NEWCASTLE UNITED YAITUPA NJE MAN CITY CARABAO


        TIMU ya Newcastle United imefanikiwa kutinga Hatua ya 16 Bora ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Manchester City, bao pekee la mshambuliaji Mswesen, Alexander Isak dakika ya 53 Uwanja wa St. James' Park, Newcastle upon Tyne.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: NEWCASTLE UNITED YAITUPA NJE MAN CITY CARABAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry