• HABARI MPYA

        Sunday, September 17, 2023

        KAGERA SUGAR YAWACHAPA GEITA GOLD 1-0 KAITABA


        TIMU ya Kagera Sugar imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Kaitaba, Bukoba.
        Bao pekee la Kagera Sugar limefungwa na Disan Galiwango dakika ya 90 na ushei huo ukiwa ushindi wa kwanza kwao baada ya kufungwa mechi mbili za awali, wakati Geita imepoteza mechi ya kwanza ikitoka kushinda moja na kutoa sare moja awali.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KAGERA SUGAR YAWACHAPA GEITA GOLD 1-0 KAITABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry