WENYEJI, Chelsea wamechapwa bao 1-0 na Nottingham Forest katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
Bao pekee la Nottingham Forest limefungwa na mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Anthony Elanga dakika ya 48 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi sita nafasi ya tisa, wakati Chelsea inabaki na pointi zake nne nafasi ya 11 baada ya wote kucheza mechi nne
0 comments:
Post a Comment