// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
ARSENAL YANG’ANG’ANIWA NA EMIRATES, SARE 2-2 NA SPURS - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEARSENAL YANG’ANG’ANIWA NA EMIRATES, SARE 2-2 NA SPURS - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ARSENAL YANG’ANG’ANIWA NA EMIRATES, SARE 2-2 NA SPURS
TIMU ya Arsenal imelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Tottenham katika mechi ya mahasimu wa Kaskazini mwa London leo Uwanja wa Emirates Jijini London. Cristian Romero alianza kujifunga akijaribu kuokoa krosi ya Bukayo Saka dakika ya 26, kabla ya as Son Heung-min kuisawazishia Tottenham Hotspur dakika ya 42. Bukayo Saka akaifungia bao la pili Arsenal dakika ya 54 kwa penalti na kwa mara nyingine as Son Heung-min akaisawazishia Spurs dakika ya 55. Wote wanafikisha pointi 14 baada ya kucheza mechi sita, Tottenham Hotspur ikikaa nafasi ya nne na Arsenal nafasi ya tano.
Uganda U17 Boys Face Kenya in Group A Finale
-
The Uganda U17 Boys National Team is bracing for one of the most pivotal
matches in their campaign as they take on familiar rivals Kenya in the
final Gro...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment