KIPA namba moja wa Simba, Aishi Salum Manula leo ameanza mazoezi mepesi kwenye Uwanja wa klabu, Mo Simba Arena huko Bunju Jijini Dar es Salaam baada ya kuwa nje ya Uwanja wa mwezi Aprili mwaka huu.
Aishi ambaye alifanyiwa matibabu Afrika Kusini aliumia kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) Aprili 7 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment