• HABARI MPYA

        Saturday, August 12, 2023

        ZOUZOUA YUKO FITI KWA MECHI DHIDI YA SIMBA KESHO


        KIUNGO mpya wa Yanga, Pacôme Zouzoua aliyesajiliwa kutoka ASEC Mimosas ya kwao, Ivory Coast akiwa mazoezini leo kujiandaa na Fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya watani, Simba kesho Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: ZOUZOUA YUKO FITI KWA MECHI DHIDI YA SIMBA KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry