• HABARI MPYA

        Wednesday, August 16, 2023

        YANGA SC KUSHIRIKIANA NA KITUO CHA MORO KIDS


        KLABU ya Yanga imeingia makubaliano na kituo cha kukuza vipaji cha Moro Kids kilichopo Morogoro juu ya kujenga uwezo kitaaluma, vifaa vya michezo, uwezeshaji wa kiuchumi, kubadilishana uzoefu na utafutaji wa masoko kwa wachezaji wanaozalishwa katika kituo.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: YANGA SC KUSHIRIKIANA NA KITUO CHA MORO KIDS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry