// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
WAGENI WOTE SIMBA, YANGA NA SINGIDA 'WAPIGWA STOP' NGAO YA JAMII - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEWAGENI WOTE SIMBA, YANGA NA SINGIDA 'WAPIGWA STOP' NGAO YA JAMII - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
WAGENI WOTE SIMBA, YANGA NA SINGIDA 'WAPIGWA STOP' NGAO YA JAMII
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema kwamba ni Azam FC iliyowasilisha vibali vya wachezaji wake 10 wa kigeni kwa ajili ya kucheza michuano ya Ngao ya Jamii inayotarajiwa kuanza leo Jijini Tanga. Michuano hiyo ya timu nne inatarajiwa kuanza leo Saa 1:00 usiku Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga, mabingwa watetezi Yanga wakifungua dimba na Azam FC, wakati kesho Simba SC itameyana na Singida Fountain Gate. Washindi wa mechi hizo mbili leo na kesho watakutana katika Fainali Jumapili katika mchezo ambao utatanguliwa mechi ya kusaka mshindi wa Tatu hapo hapo Mkwakwani.
Uganda U17 Boys Face Kenya in Group A Finale
-
The Uganda U17 Boys National Team is bracing for one of the most pivotal
matches in their campaign as they take on familiar rivals Kenya in the
final Gro...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment