// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); WAGENI WA SIMBA SC NA SINGIDA MARUFUKU WOTE NGAO YA JAMII - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE WAGENI WA SIMBA SC NA SINGIDA MARUFUKU WOTE NGAO YA JAMII - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, August 10, 2023

    WAGENI WA SIMBA SC NA SINGIDA MARUFUKU WOTE NGAO YA JAMII


    WAKATI zinatarajiwa kuteremka dimbani Saa 1:00 usiku Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga katika mchezo wa Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii, klabu za Simba na Singida Fountain Gate hazitaruhusiwa kutumia wachezaji wake wa kigeni leo. 
    Taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imesema kwamba Simba na Singida ndio klabu pekee ambazo hazijawasilisha vibali vya wachezaji wake wa kigeni kwa ajii ya michuano ya Ngao ya Jamii iliyoanza jana.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WAGENI WA SIMBA SC NA SINGIDA MARUFUKU WOTE NGAO YA JAMII Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top