KIKOSI cha Yanga leo kimetembelea na kukagua Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga kuelekea mchezo wao ww kesho wa Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya AzamwFC utakaoanza Saa 1:00 usiku.
PICHA: WACHEZAJI WA YANGA WAKIKAGUA UWANJA WA MKWAKWANI JIJINI TANGA LEO
0 comments:
Post a Comment