WACHEZAJI tisa wapya wa Simba ambao hawakufanyiwa vipimo kabla ya timu kwenda kambini Uturuki jana wamefanyiwa vipimo hivyo kabla ya timu kuanza safari ya kurejea nyumbani, Dar es Salaam.
Wachezaji hao wamefanyiwa vipimo hivyo katika Hospitali ya Medicalpark Göztepe nchini Uturuki, zoezi ambalo limefanyika kwa ushirikiano ambao Simba SC imeingia na kampuni ya East Africa Afya na hospitali ya Medical Park Goztepe Hastanesi.
0 comments:
Post a Comment