WENYEJI, Tottenham Hotspur wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London. Mabao ya Tottenham Hotspur yamefungwa na kiungo Msenegal, Pape Matar Sarr dakika ya 49 na beki Muargentina, Lisandro Martínez dakika ya 83 huo ukiwa ushindi wa kwanza kwao baada ya sare ya 2-2 na Brentford ugenini. Kwa upande wao Manchester United leo wamepoteza mechi ya kwanza baada ya kuanza na ushindi wa 1-0 nyumbani dhidi ya Wolverhampton Wanderers.
Uganda U17 Boys Face Kenya in Group A Finale
-
The Uganda U17 Boys National Team is bracing for one of the most pivotal
matches in their campaign as they take on familiar rivals Kenya in the
final Gro...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment