• HABARI MPYA

        Tuesday, August 29, 2023

        SIMON MSUVA AJIUNGA NA JS KABYLIE YA ALGERIA


        MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania, Simón Happygod Msuva amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na klabu ya JS Kabylie ya Algeria kutoka Al Qadisiya ya Saudi Arabia.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SIMON MSUVA AJIUNGA NA JS KABYLIE YA ALGERIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry