• HABARI MPYA

        Saturday, August 12, 2023

        REFA WA KESHO SIMBA NA YANGA NI MWANAMAMA JONESIA RUKYAA


        REFA Jeonesia Rukyaa wa Kagera ndiye atakayechezesha Fainali ya Ngao ya Jamii baina ya Simba na Yanga kesho Saa 1:00 usiku Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
        Jonesia atasaidiwa na washika vibendera, Mohamed Mkono wa Tanga na Hamdani Said wa Mtwara, wakati mezani atakuwepo Abdallah Mwinyimkuu wa Singida.


        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: REFA WA KESHO SIMBA NA YANGA NI MWANAMAMA JONESIA RUKYAA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry