RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wachezaji wa Simba SC kabla ya mchezo wao wa kirafiki na Power Dynamos ya Zambia leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar es Salaam.
PICHA: RAIS SAMIA KATIKA SIMBA DAY LEO UWANJA WA BENJAMIN MKAPA
0 comments:
Post a Comment