ONANA, NGOMA WANG’ARA SIMBA YAICHAPA POWER DYNAMOS 2-0 SIMBA DAY
TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya mabingwa wa Zambia, Power Dynamos katika mchezo wa kirafiki kwenye tamasha la Simba Day leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba SC yamefungwa na wachezaji wake wapya, viungo Mcameroon Leandre Willy Essomba Onana dakika ya tano na Mkongo, Fabrice Luamba Ngoma dakika ya 75. Mchezo huo ambao mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ulitanguliwa na burudani ya muziki iliyoongozwa msanii Ally ‘King’ Kiba.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment