NGUSHI APIGA MBILI, KONKONI MOJA YANGA YASHINDA 6-0 KIGAMBONI
MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC wameibuka na ushindi wa 6-0 dhidi ya Friends Rangers katika mchezo wa kirafiki kambini kwao, Avic Town, Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Yanga yamefungwa na Clement Mzize, Crispin Ngushi mawili, Mburkinabe Stephane Aziz Ki, Mghana Hafiz Konkoni na Muivory Coast Peodoh Pacome Zouzoua. Huo unakuwa mchezo wa tatu wa kujiandaa na msimu kwa Yanga chini ya Kocha mpya, Muargentina Miguel Ángel Gamondi baada ya kuzichapa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini 1-0 na Magereza ya Dar es Salaam 10-0.
Media Accreditation for Uganda Vs Namibia
-
FUFA wishes to inform members of the sports media that the application
process for accreditation to cover the Women’s U17 World Cup Qualifier
match betwe...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment