• HABARI MPYA

        Tuesday, August 15, 2023

        KIPA MPYA MMOROCCO MAZOEZINI SIMBA SC LEO MOROGORO


        KIPA mpya wa Simba SC, Mmorocco Ayoub Lakred akiwa mazoezini leo Morogoro kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar Alhamisi mjini humo.
        VIDEO: AYOUB LAKRED ALIVYOKARIBISHWA MAZOEZINI SIMBA SC LEO MOROGORO
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KIPA MPYA MMOROCCO MAZOEZINI SIMBA SC LEO MOROGORO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry