// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
JKU YA KWANZA KUTOKA SALAMA KWA YANGA YA GAMONDI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEJKU YA KWANZA KUTOKA SALAMA KWA YANGA YA GAMONDI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
JANA jioni Yanga SC ilicheza mechi ya kirafiki na kutoka sare ya bila kufungana na JKU ya Zanzibar Uwanja wa Avic Town, Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Ulikuwa mchezo wa pili wa kujipima kwa jana pekee kwa Yanga baada ya asubuhi kuibuka na ushindi wa 6-0 dhidi ya Friends Rangers. Kwa ujumla Yanga imecheza mechi nne za kujiandaa na msimu chini ya kocha mpya, Muargentina Miguel Angel Gamondi, nyingine mbili ikishinda 1-0 dhidi ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini na 10-0 dhidi ya Magereza ya Dar es Salaam.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment