• HABARI MPYA

        Wednesday, August 30, 2023

        JKT QUEENS MABINGWA AFRIKA MASHARIKI NA KATI WANAWAKE


        WACHEZAJI wa JKT Queens wakifurahia na Kombe lao la ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati kwa Wanawake baada ya ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya CBE y Ethiopia leo Uwanja wa Kituo cha Ufundi cha FUFA, Njeru mjini Kampala nchini Uganda leo katika mchezo wa Fainali.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: JKT QUEENS MABINGWA AFRIKA MASHARIKI NA KATI WANAWAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry