BAO pekee la Mubarak Hamza dakika ya 79 limewapa wenyeji, Ihefu SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar ya Bukoba katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Highland Estate, Mbarali mkoani Mbeya. Ni ushindi wa kwanza wa msimu Ihefu ikitoka kuchapwa 1-0 hapo hapo Highland Estate na Geita Gold na kipigo cha pili kwa Kagera Sugar baada ya kuchapwa 2-0 na Mashujaa FC mjini Kigoma.
FUFA President’s New Year Address
-
FUFA President Hon. Magogo Moses Hassim made his first address in the New
Year today in a press briefing held at FUFA Complex Mengo, giving an update
abo...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment