Sunday, August 20, 2023

    HISPANIA MABINGWA KOMBE LA DUNIA WANAWAKE 2023


    WACHEZAJI wa timu ya taifa ya wanawake ya Hispania wakifurahia na Kombe la Dunia baada ya kuichapa England 1-0 pekee la Olga Carmona leo mjini Sydney, Australia.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HISPANIA MABINGWA KOMBE LA DUNIA WANAWAKE 2023 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry