ALLY SALIM SHUJAA SIMBA YABEBA NGAO KWA MATUTA TANGA
TIMU ya Simba SC imefanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii baada ya ushindi wa penalti 3-1 dhidi ya watani, Yanga kufuatia sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90 Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga. Shujaa wa Simba kwa mara nyingine leo amekuwa kipa Ally Salum aliyeokoa penalti tatu mfululizo za viungo Mganda Khalid Aucho, Pacome Zouzoua na beki Kouassi Attohoula Yao, wote wa Ivory Coast, huku Mburkinabe Stephane Aziz Ki pekee akifunga upande wa Yanga. Waliofunga penalti za Simba ni kiungo wa Kimataifa wa Tanzania, Muzamil Yassin na washambuliaji Mcameroon Leandre Willy Essomba Onana na Mkongo, Jean Othos Baleke huku Mrundi Saido Ntibanzokiza iliokolewa na kipa Mmali, Djigui Diarra na ya Mzambia, Moses Phiri ikienda juu ya lango. Simba ilifika Fainali kwa ushindi wa penalti pia 4-2 dhidi ya Singida Fountain Gate Alhamisi huku Yanga wakiifunga Azam FC 2-0 Jumatano.
Uganda U17 Boys Face Kenya in Group A Finale
-
The Uganda U17 Boys National Team is bracing for one of the most pivotal
matches in their campaign as they take on familiar rivals Kenya in the
final Gro...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment