
Thursday, August 31, 2023

TIMU ya Singida Fountain Gate imelazimishwa sare ya bila kufungana na Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanj...
CHELSEA WATINGA RAUNDI YA TATU KOMBE LA LIGI ENGLAND
Thursday, August 31, 2023
TIMU ya Chelsea imefanikiwa kwenda ya Tatu ya Kombe la Ligi England baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya AFC Wimbledon ya Daraja la Pili k...
Wednesday, August 30, 2023
TABORA UNITED YATOZWA FAINI KWA MADUDU YAO MECHI NA AZAM FC
Wednesday, August 30, 2023
TIMU ya Tabora United imetozwa faini ya Sh. Milioni 1 kwa kosa la kuchelewa kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya Azam FC ...
JKT QUEENS MABINGWA AFRIKA MASHARIKI NA KATI WANAWAKE
Wednesday, August 30, 2023
WACHEZAJI wa JKT Queens wakifurahia na Kombe lao la ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati kwa Wanawake baada ya ushindi wa penalti 5-4 dhidi y...
SABA YANGA WAITWA TAIFA STARS, SIMBA WANNE, AZAM…
Wednesday, August 30, 2023
WACHEZAJI saba wa klabu bingwa ya Tanzania, Yanga SC wameitwa katika kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars kwa ajili ya mchezo wa Kundi F ku...
Tuesday, August 29, 2023
YANGA SC 5-0 JKT TANZANIA (LIGI KUU TZ BARA)
Tuesday, August 29, 2023
FIFA YAIFUNGIA YANGA KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA KISA BIGIRIMANA
Tuesday, August 29, 2023
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifungia klabu ya Yanga kufanya usajili hadi hapo itakapomlipa aliyekuwa kiungo wake, Mrundi Gael ...
MAX NZENGELI APIGA MBILI YANGA YAUA 5-0 TENA
Tuesday, August 29, 2023
MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya NBC baada ya kuitandika JKT Tanzania mabao 5-0 usiku huu Uwa...
SINGIDA BIG STARS YAACHANA NA HANS VAN DER PLUIJM
Tuesday, August 29, 2023
KLABU ya Singida Fountain Gate imeachana na Kocha wake Mholanzi, Hans van der Pluijm kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu tangu kuanza ...
AZAM FC 3-1 TANZANIA PRISONS (LIGI KUU TZ BARA)
Tuesday, August 29, 2023
SIMON MSUVA AJIUNGA NA JS KABYLIE YA ALGERIA
Tuesday, August 29, 2023
MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania, Simón Happygod Msuva amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na klabu ya JS Kabylie ya Algeria kuto...
Monday, August 28, 2023
AZAM FC YAPANDA KILELENI LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA PRISONS 3-1
Monday, August 28, 2023
TIMU ya Azam FC imepanda kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Tanzania Prisons leo Uwanja wa A...
SIMBA SC YAACHANA NA WINGA MMALAWI PETER BANDA
Monday, August 28, 2023
KLABU ya Simba imeachana na winga wake Mmalawi, Peter Banda baada ya misimu miwili tangu ajiunge na Wekundu hao wa Msimbazi akitokea Big Bul...
ABDALLAH SHAIBU ‘NINJA’ ATUA FC LUBUMBASHI YA KONGO
Monday, August 28, 2023
BEKI Mzanzibari, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amejiunga klabu ya FC Lubumbashi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwa mkataba wa miaka mi...
KMKM YACHAPWA 3-1 NA KUTUPWA NJE ETHIOPIA LIGI YA MABINGWA
Monday, August 28, 2023
TIMU ya KMKM ya Zanzibar imetupwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 3-1 na wenyeji, St George katika mchezo...
Sunday, August 27, 2023
SINGIDA YACHAPWA 2-0 NA JKU LAKINI YASONGA MBELE AFRIKA
Sunday, August 27, 2023
TIMU ya Singida Fountain Gate ‘The Big Stars’ imefanikiwa kwenda hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania kucheza hatua ya makundi ya Kombe la S...
MAN CITY YAENDELEZA UMWAMBA LIGI KUU ENGLAND
Sunday, August 27, 2023
MABINGWA watetezi, Manchester City wameendelea wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya England baada ya kuichapa Sheffield United mabao 2-1 leo ...
NUNEZ ATOKEA BENCHI DAKIKA ZA JIONI KUIBEBA LIVERPOOL
Sunday, August 27, 2023
TIMU ya Liverpool imetoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya wenyeji, Newcastle United leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Venue ...
JKT QUEENS YATINGA FAINALI KLABU AFRIKA MASHARIKI NA KATI WANAWAKE
Sunday, August 27, 2023
TIMU ya JKT Queens imefanikiwa kuingia Fainali ya Ligi ya Mabingwa ya Wanawake Afrika Mashariki na Katí baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Bur...
Saturday, August 26, 2023
YANGA SC 5-1 ASAS (LIGI YA MABINGWA AFRIKA)
Saturday, August 26, 2023
MAN UNITED YATOLA NYUMA KWA 2-0 NA KUSHINDA 3-2
Saturday, August 26, 2023
WENYEJI, Manchester United wametoka nyuma kwa mabao 2-0 na kushinda 3-2 dhidi ya Nottingham Forest katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo ...
ARSENAL YAPUNGUZWA KASI, SARE 2-2 NA FULHAM EMIRATES
Saturday, August 26, 2023
WENYEJI, Arsenal wamelazimishwa ya sare ya kufungana mabao 2-2 na Fulham katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates Jijini ...
MAX APIGA MBILI YANGA YAWACHAPA ASAS 5-1 CHAMAZI
Saturday, August 26, 2023
MABINGWA wa Tanzania,Yanga wamefanikiwa kwenda Raundi ya mwisho ya mchujo wa kuwania kucheza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baa...
RAHEEM STERLING APIGA MBILI CHELSEA YASHINDA 3-0
Saturday, August 26, 2023
TIMU ya Chelsea imepata ushindi wa kwanza chini ya kocha Muargentina, Mauricio Pochettino baada ya kuichapa Luton Town FC mabao 3-0 katika m...
AZAM FC ILIVYOTOLEWA NA BAHIR DAR CHAMAZI
Saturday, August 26, 2023
Friday, August 25, 2023
AZAM FC YATOLEWA KWA MATUTA KOMBE LA SHIRIKISHO
Friday, August 25, 2023
TIMU ya Azam FC imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mikwaju ya penalti 4-3 baada ya sare ya jumla ya 3-3 na Bahir Da...
Thursday, August 24, 2023
YANGA SC 5-0 KMC (LIGI KUU TZ BARA)
Thursday, August 24, 2023
Wednesday, August 23, 2023
YANGA SC YAANZA LIGI KWA KISHINDO, KMC YAFA 5-0
Wednesday, August 23, 2023
MABINGWA watetezi, Yanga SC wameanza Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa kishindo baada ya kuitandika KMC mabao 5-0 usiku huu Uwanja wa Azam ...
CLARA LUVANGA WA YANGA ASAINI MIAKA MITATU KLABU YA HISPANIA
Wednesday, August 23, 2023
MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya vijana ya wanawake Tanzania, Clara Cletus Luvanga amesaini mkataba wa miaka mitatu kujiunga na klabu ya Dux...
Tuesday, August 22, 2023
SINGIDA BIG STARS YAAMBULIA SULUHU KWA PRISONS LITI
Tuesday, August 22, 2023
WENYEJI, Singida Fountain Gate ‘ The Big Stars’ wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Tanzania Prisons katika mchezo wao wa kwanza wa Lig...
ARSENAL YAICHAPA CRYSTAL PALACE 1-0 BAO LA TUTA EMIRATES
Tuesday, August 22, 2023
WASHINDI wa Ngao ya Jamii, Arsenal wameshinda mechi ya pili mfululizo ya Ligi Kuu ya England baada ya usiku wa jana pia kuwalaza wenyeji, Cr...
Monday, August 21, 2023
MASHUJAA YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA GEITA GOLD KIGOMA
Monday, August 21, 2023
TIMU ya Mashujaa FC imelazimishwa sare ya bila kufungana na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Lake Tan...
MAHOJIANO BIN ZUBEIRY NA SHAURI IDDI
Monday, August 21, 2023
ASAS 0-2 YANGA SC (LIGI YA MABINGWA AFRIKA)
Monday, August 21, 2023
SIMBA SC 2-0 DODOMA JIJI (LIGI KUU TZ BARA)
Monday, August 21, 2023
WEST HAM YAICHAPA CHELSEA 3-1 LONDON
Monday, August 21, 2023
WENYEJI, West Ham United wameitandika Chelsea mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa London Jijini London. Mabao ya We...
Sunday, August 20, 2023
YANGA SC YAWACHAPA ASAS 2-0 CHAMAZI
Sunday, August 20, 2023
MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, ASAS ya Djibouti katika mchezo wake wa kwanza wa Raundi y...
HISPANIA MABINGWA KOMBE LA DUNIA WANAWAKE 2023
Sunday, August 20, 2023
WACHEZAJI wa timu ya taifa ya wanawake ya Hispania wakifurahia na Kombe la Dunia baada ya kuichapa England 1-0 pekee la Olga Carmona leo mji...
SIMBA SC YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0 UHURU
Sunday, August 20, 2023
WASHINDI wa Ngao ya Jamii, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kuichapa Dodoma Jiji FC maba...
AZAM FC YACHAPWA 2-1 NA BAHIR DAR LEO ETHIOPIA
Sunday, August 20, 2023
TIMU ya Azam FC imefungwa Mabao 2-1na wenyeji, Bahir Dar katika mchezo wake wa kwanza Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho Afrika leo Uwanja...
MTIBWA SUGAR YATOA SARE 1-1 NA COASTAL UNION MANUNGU
Sunday, August 20, 2023
WENYEJI, Mtibwa Sugar wamelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na Coastal Unión ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo ...
MAN CITY YAWACHAPA NEWCASTLE UNITED 1-0 ETIHAD
Sunday, August 20, 2023
BAO pekee la Julian Alvarez dakika ya 31 jana lilitosha kuipa Manchester City ushindi wa 1-0 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi...
Saturday, August 19, 2023
SPURS YAIKANDA MAN UNITED 2-0 LONDON
Saturday, August 19, 2023
WENYEJI, Tottenham Hotspur wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Tottenh...
NAMUNGO FC YAAMBULIA SARE YA 1-1 KWA KMC RUANGWA
Saturday, August 19, 2023
TIMU ya Namungo imecheza mechi ya pili nyumbani ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara bila ushindi baada ya leo kutoa sare ya kufungana bao 1-1 ...
LIVERPOOL YAICHAPA BOURNEMOUTH 3-1 ANFIELD
Saturday, August 19, 2023
WENYEJI, Liverpool wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield Jijini ...
IHEFU SC YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 MBARALI
Saturday, August 19, 2023
BAO pekee la Mubarak Hamza dakika ya 79 limewapa wenyeji, Ihefu SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar ya Bukoba katika mchezo wa Ligi Kuu...
KOCHA WA ZAMANI WA YANGA SC, SAM TIMBE AFARIKI DUNIA
Saturday, August 19, 2023
ALIYEWAHI kuwa kocha wa Yanga, Mganda San Timbe (69) amefariki dunia leo katika Hospitali ya Nakasero Jijini Kampala, alipokuwa amelazwa wad...
Friday, August 18, 2023
SINGIDA STARS YAITANDIKA JKU 4-1 KOMBE LA SHIRIKISHO CHAMAZI
Friday, August 18, 2023
TIMU ya Singida Fountain Gate ‘Big Stars’ imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kusogea mbele kwenye Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi ...
KMKM YAANZA VIBAYA AFRIKA, YACHAPWA 2-1 NA ST GEORGE CHAMAZI
Friday, August 18, 2023
TIMU ya KMKM imejiweka njia panda katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 2-1 na St George ya Ethiopia katika mchezo wa kwanz...
MTIBWA SUGAR 2-4 SIMBA SC (LIGI KUU TZ BARA)
Friday, August 18, 2023
Thursday, August 17, 2023
SIMBA SC YAITANDIKA MTIBWA SUGAR 4-2 PALE PALE MANUNGU
Thursday, August 17, 2023
TIMU ya Simba imeanza vyema Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar jioni ya leo Uwanja w...
NI MANCHESTER CITY WASHINDI WA UEFA SUPER CUP
Thursday, August 17, 2023
TIMU ya Manchester City imefanikiwa kutwaa taji la UEFA Super Cup kwa mara ya kwanza katika histora yao baada ya ushindi wa penalti 5-4 dhid...
Wednesday, August 16, 2023
FEISAL APIGA HAT TRICK AZAM YAICHAPA KITAYOSCE 4-0
Wednesday, August 16, 2023
WENYEJI, Azam FC wameanza vyema Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Kitayosce ya Tabora usiku huu Uwanja w...
MASHUJAA YAWAKANDA KAGERA SUGAR 2-0 LAKE TANGANYIKA
Wednesday, August 16, 2023
WENYEJI, Mashujaa FC wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Lake Ta...
YANGA SC KUSHIRIKIANA NA KITUO CHA MORO KIDS
Wednesday, August 16, 2023
KLABU ya Yanga imeingia makubaliano na kituo cha kukuza vipaji cha Moro Kids kilichopo Morogoro juu ya kujenga uwezo kitaaluma, vifaa vya mi...
KITAYOSCE YAFUTIWA ADHABU, KUIVAA AZAM FC NA KIKOSI KAMILI
Wednesday, August 16, 2023
KLABU ya Kitayosce imefutiwa adhabu ya kutofanya usajili katika dirisha hili - hivyo iko huru kuwatumia wachezaji wake wote katika mchezo wa...
PAUL RWECHUNGURA NA MALOTA PAMBA NA SIMBA 1991 KIRUMBA
Wednesday, August 16, 2023
KIPA Paul Rwechungura wa Pamba SC akiwa amedaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba SC, Malota Soma ‘Ball Jagler’, huku beki James Washok...
MWENYEKITI WA SIMBA SC AHUDHURIA KOZI YA FIFA AUSTRALIA
Wednesday, August 16, 2023
MWENYEKITI wa Bodi ya Simba SC, Salim Abdallah Muhene 'Try Again' amehudhuria kozi ya Diploma katika Uongozi wa Klabu inayotolewa na...
KITAYOSCE YAFUNGIWA KUSAJILI LEO INACHEZA NA AZAM FC CHAMAZI
Wednesday, August 16, 2023
WAKATI leo inashuka dimbani kumenyana na Azam FC katika mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, klabu ya Kitayosce imefungiw...
Tuesday, August 15, 2023
DODOMA JIJI WANG’ARA MECHI YA KWANZA YA LIGI KUU NYUMBANI
Tuesday, August 15, 2023
WENYEJI, Dodoma Jiji FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Unión katika mchezo wao wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Ba...
MAZOEZI YA AZAM FC KUJIANDAA NA MECHI YA KWANZA YA LIGI KUU
Tuesday, August 15, 2023
MSHAMBULIAJI Msenegal wa Azam FC, Alassane Diao akiwa mazoezini leo kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kesho dhidi ya Kita...
KIPA MPYA MMOROCCO MAZOEZINI SIMBA SC LEO MOROGORO
Tuesday, August 15, 2023
KIPA mpya wa Simba SC, Mmorocco Ayoub Lakred akiwa mazoezini leo Morogoro kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya wenyeji,...
Subscribe to:
Posts (Atom)