// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA YAMUUZA BANGALA KWA AZAM FC, ASAINI MIAKA MIWILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA YAMUUZA BANGALA KWA AZAM FC, ASAINI MIAKA MIWILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, July 29, 2023

    YANGA YAMUUZA BANGALA KWA AZAM FC, ASAINI MIAKA MIWILI



    KIUNGO wa Kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Yanick Litombo Bangala amejiunga na klabu ya Azam FC kutoka Yanga, zote za Dar es Salaam.
    Taarifa ya Azam FC leo imesema; “Tumefikia makubaliano na klabu ya Yanga ya kumnunua, mchezaji kiraka, Bangala na amesaini mkataba wa miaka miwili baada ya kufuzu vipimo vya afya,”.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA YAMUUZA BANGALA KWA AZAM FC, ASAINI MIAKA MIWILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top