// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA SC YAMTAMBULISHA SKUDU MCHEZAJI MWINGINE MPYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA SC YAMTAMBULISHA SKUDU MCHEZAJI MWINGINE MPYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, July 19, 2023

    YANGA SC YAMTAMBULISHA SKUDU MCHEZAJI MWINGINE MPYA


    KLABU ya Yanga imemtambulisha winga wa kushoto, Mahlatse Skudu Makudubela kuwa mchezaji wake mpya wa tano kuelekea msimu ujao akitokea Marumo Gallants ya kwao, Afrika Kusini.
    Wachezaji wengine wapya Yanga mabeki Nickson Kibabage kutoka Singida Fountain Gate, 
    Kouassi Attohoula Yao kutoka ASEC Mimosas ya Ivory Coast, Gift Freddy kutoka SC Villa ya kwao, Uganda na viungo ni Maxi Mpia Nzengeli kutoka AS Maniema Union ya kwao, DRC na Jonás Mkude kutoka Simba SC.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC YAMTAMBULISHA SKUDU MCHEZAJI MWINGINE MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top