BEKI Mkongo, Joyce Lomalisa Mutambala akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) leo wakati wa safari ya Yanga kwenda Malawi kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Nyasa Big Bullets kesho Jijini Lilongwe.
Yanga inakwenda Malawi kwa mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, Lazarus Chakwera kupamba sherehe za miaka 59 ya Uhuru wa Malawi ambazo zitahudhuriwa pia na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan.

0 comments:
Post a Comment