KLABU ya Yanga imepata mwaliko wa kwenda Malawi kucheza mechi ya kirafiki katika maazimisho ya miaka 59 ya Uhuru wan chi hiyo Julai 6 Jijini Blantyre.
Tayari Yanga imewapiga simu wachezaji wake waliokuwa mapumzikoni kuripoti haraka kwa safari hiyo na kwenye sherehe hizo ambazo mgeni rasmi atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan.
0 comments:
Post a Comment