YAMGA SC WANAVYOJIANDAA KUIKABILI KAIZER CHIEFS JUMAMOSI DAR
KIUNGO wa Kimataifa wa Uganda, Khalid Aucho akiwa kwenye mazoezi ya Yanga leo Uwanja wa Avic Town, eneo la Somangira, Kigamboni Jijini Dar es Salaam kujiandaa na msimu mpya. Yanga inatarajiwa kuuzindua msimu wake mpya kwa kumenyana na vigogo wa Afrika Kusini, Kaizer Chiefs Jumamosi Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment