TIMU ya Wakaguzi wa Miundombinu wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwa ajili ya uenyeji wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 wakifanya ukaguzi wa maeneo mbalimbali ya uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na Terminal II, Dar es Salaam.
WAKAGUZI WA CAF WATUA DAR KUITATHMINI TANZANIA UENYEJI AFCON 2027
TIMU ya Wakaguzi wa Miundombinu wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwa ajili ya uenyeji wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 wakifanya ukaguzi wa maeneo mbalimbali ya uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na Terminal II, Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment