// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); WACHEZAJI SINGIDA FOUNTAIN GATE WAPIMWA AFYA TAYARI KWENDA KAMBINI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE WACHEZAJI SINGIDA FOUNTAIN GATE WAPIMWA AFYA TAYARI KWENDA KAMBINI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, July 10, 2023

    WACHEZAJI SINGIDA FOUNTAIN GATE WAPIMWA AFYA TAYARI KWENDA KAMBINI


    WACHEZAJI wa Singida Fountain Gate wamepimwa afya leo tayari kwenda kambini Arusha kuanza maandalizi ya msimu mpya.
    Pamoja ma michuano ya nyumbani Ngao ya Jamii, Ligi Kuu ya NBC na Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), Singida pia watacheza Kombe la Shirikisho Afrika.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WACHEZAJI SINGIDA FOUNTAIN GATE WAPIMWA AFYA TAYARI KWENDA KAMBINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top