Mgeni Rasmi katika uzinduzi wa Wiki ya Mwananchi uliofanyika viwanja vya Furahisha Jijini Mwanza leo, Mbunge wa jimbo la Geita, Joseph Kasheku Musukuma akiwaongoza mashabiki na wapenzi wa Yanga waliojisajili na kulipia kadi zao za Mwanachama/Shabiki wa Yanga kupiga picha na Makombe ambayo klabu hiyo iliyatwaa msimu uliopita.
UZINDUZI WA WIKI YA MWANANCHI ULIVYOFANA MWANZA LEO
Mgeni Rasmi katika uzinduzi wa Wiki ya Mwananchi uliofanyika viwanja vya Furahisha Jijini Mwanza leo, Mbunge wa jimbo la Geita, Joseph Kasheku Musukuma akiwaongoza mashabiki na wapenzi wa Yanga waliojisajili na kulipia kadi zao za Mwanachama/Shabiki wa Yanga kupiga picha na Makombe ambayo klabu hiyo iliyatwaa msimu uliopita.
0 comments:
Post a Comment