TANZANIA YAENDELEA KUNG’ARA MICHUANO YA MABINTI U18 CECAFA
TANZANIA imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ethiopia katika mfululizo wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa mabinti chini ya umri wa miaka 18 leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Mechi nyingine ya michuano hiyo maarufu kama CECAFA Women’s U18 leo, Uganda imeichapa Zanzibar 3-0 hapo hapo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Mechi za kwanza Tanzania iliichapa Burundi 3-0 na Uganda ikaichaoa Ethiopia 1-0.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment