KLABU ya Simba imemtambulisha Mnyarwanda Corneille Hategekimana kuwa kocha wake mpya wa Fiziki. Huyo anakuwa mtaalamu wa pili wa benchi la Ufundi kutambulishwa leo baada ya kocha wa Makipa, Mspaniola Daniel Cadena ambaye msimu uliopita alikuwa Azam FC.
Who is Man City FA Cup hero Nico O'Reilly?
-
After Nico O'Reilly's FA Cup quarter-final exploits for Manchester City,
BBC Sport looks at what positions he can play and how highly Pep Guardiola
rates him.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment