// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA SC YAPUUZIA SEMINA YA FIFA CONNECT & TMS ILIYOANDALIWA NA TFF - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA SC YAPUUZIA SEMINA YA FIFA CONNECT & TMS ILIYOANDALIWA NA TFF - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, July 13, 2023

    SIMBA SC YAPUUZIA SEMINA YA FIFA CONNECT & TMS ILIYOANDALIWA NA TFF


    TIMU sita za Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara wakiwemo vigogo, Simba, hazikupeleka wawakilishi kwenye Semina ya mafunzo ya kujikumbusha matumizi ya mfumo wa Usajili na Uhamisho wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), maarufu kama FIFA Connect &TMS.
    Mbali na Simba SC, timu nyingine za Ligi Kuu ambazo hazikuwa na wawakilishi kwenye mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kufanyika leo Jijini Dar es Salaam ni Singida Fountain Gate, Kitayosce, Mtibwa Sugar, Kagera Sugar na Coastal Unión.



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC YAPUUZIA SEMINA YA FIFA CONNECT & TMS ILIYOANDALIWA NA TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top