// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA SC YAMUUZA SAKHO TIMU YA LIGUE 2 UFARANSA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA SC YAMUUZA SAKHO TIMU YA LIGUE 2 UFARANSA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, July 24, 2023

    SIMBA SC YAMUUZA SAKHO TIMU YA LIGUE 2 UFARANSA



    KLABU ya Simba SC imefikia makubaliano na klabu ya 
    Union Sportive Quevillaise-Rouen Métropole ya nchini Ufaransa kumnunua mchezaji wake, Msenegal Pape Ousmane Pape Ousmane Sakho.
    Winga huyo wa kushoto mwenye umri wa miaka 26 alijiunga na Simba SC Agosti mwaka 2021 akitokea Teungueth FC ya kwao, Senegal na baada ya misimu miwili mizuri anaondoka Msimbazi.
    Union Sportive Quevillaise-Rouen Métropole, inayofahamika zaidi kama US Quevilly-Rouen, ama US Quevilly, au QRM ni timu inayoshiriki Ligi ya pili kwa ukubwa nchini Ufaransa, Ligue 2.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC YAMUUZA SAKHO TIMU YA LIGUE 2 UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top