KIPA namba moja wa Simba kwa sasa, Ally Salum akidaka mpira kwenye mazoezi ya timu hiyo katika kambi yao ya kujiandaa na msimu mpya mjini Ankara nchini Uturuki.
Kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula ni majeruhi na zaidi ya Ally Salum kipa mwingine ambaye yupo kambini Uturuki ni Ally Ferouz ambao wote ni matunda ya timu za vijana.
Simba ina mpango wa kusajili kipa mwingine mzoefu baada ya kuachana na aliyekuwa kipa namba mbili, Beno Kakolanya.
0 comments:
Post a Comment