KLABU ya Pyramids ya Misri imemtambulisha mshambuliaji wa Kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Fiston Kalaa Mayele kuwa mchezaji wake mpya kutoka Yamga SC.
PYRAMIDS YAMTAMBULISHA RASMI MAYELE MCHEZAJI WAKE MPYA
KLABU ya Pyramids ya Misri imemtambulisha mshambuliaji wa Kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Fiston Kalaa Mayele kuwa mchezaji wake mpya kutoka Yamga SC.
0 comments:
Post a Comment