// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MMOROCCO NDIYE KOCHA MPYA WA FIZIKI YANGA SC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MMOROCCO NDIYE KOCHA MPYA WA FIZIKI YANGA SC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, July 18, 2023

    MMOROCCO NDIYE KOCHA MPYA WA FIZIKI YANGA SC


    KOCHA mpya mkuu wa Yanga, Muargentina Miguel Ángel Gamondi (kushoto) na Mtendaji Mkuu, Mzambia Andre Mtine (kulia) wakimkabidhi jezi ya klabu hiyo, Taibi Lagrouni (50) baada ya kuajiriwa kuwa Kocha wa Fiziki kutoka klabu ya Hassania ya kwao, Morocco.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MMOROCCO NDIYE KOCHA MPYA WA FIZIKI YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top