NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amejiunga na klabu ya Paok FC ya Ugiriki kutoka Fenerbahçe ya Uturuki baada ya misimu miwili ya kucheza kwa mkopo Ubelgiji. Samatta aliyeibukia African Lyon mwaka 2008 kabla ya kwenda Simba 2010 ambayo ilimuuza TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) mwaka 2011. Alicheza Mazembe kwa mafanikio hadi mwaka 2016 alipouzwa KRC Genk ya Ubelgiji ambako pia Januari mwaka 2020 aliuzwa Aston Villa ya England ambako Septemba alitolewa kwa mkopo Fenerbahçe. Julai mwaka 2021 akasaini mkataba wa miaka minne kujiunga moja kwa moja na Fenerbahçe ambako pia mambo hayakumuendea vizuri akapelekwa kwa mkopo Ubelgiji, kwanza Royal Antwerp mwaka 2021 na baadaye akarejea Genk kuanzia 2022.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment