WINGA wa kushoto, Aubin Kramo Kouamé aliyesajiliwa kutoka ASEC Mimosas ya kwao, Ivory Coast leo ameripoti kwenye kambi ya Simba mjini Ankara nchini Uturuki kwa maandalizi ya msimu mpya. Aubin Kramo Kouamé ni mmoja kati ya wachezaji wapya watano waliosajiliwa Simba SC, wengine ni beki mzawa, David Kameta ‘Duchu’ kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro, beki wa katí Che Fondoh Malone Junior kutoka Cotton Sport ya kwao, Cameroon, kiungo Mkongo Fabrice Luamba Ngoma kutoka Al Hilal ya Sudan na mshambuliaji Mcameroon, Leandre Essomba Willy Onana kutoka Rayon Sport ya Rwanda.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment