// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KLABU YA WEST ARMENIA YASAJILI WACHEZAJI WAWILI WA TANZANIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KLABU YA WEST ARMENIA YASAJILI WACHEZAJI WAWILI WA TANZANIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, July 27, 2023

    KLABU YA WEST ARMENIA YASAJILI WACHEZAJI WAWILI WA TANZANIA


    KLABU ya West Armenia FC ya is an Armenia imesajili wachezaji wawili wa Tanzania kiungo Erick Edson Mwijage kutoka Kagera Sugar na mshambuliaji Yusuph Athumani Shaaban kutoka Yanga SC.
    Klabu ya mjini Yerevan inajipanga kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya Armenia na sasa inaimarisha kikosi chake kwa kusajili nyota wapya kutoka nchi tofauti.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KLABU YA WEST ARMENIA YASAJILI WACHEZAJI WAWILI WA TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top