KIPA mpya wa Simba, Mbrazil Jefferson Luis Szerban de Oliveira Junior akidaka mpira kwa ustadi kwenye mazoezi ya timu hiyo kufuatia kuripoti kambini mjini Ankara nchini Uturuki kwenye kambi ya timu hiyo kujiandaa na msimu.
KIPA MPYA WA SIMBA MBRAZIL JEFFERSON LUIS AANZA MAZOEZI UTURUKI
KIPA mpya wa Simba, Mbrazil Jefferson Luis Szerban de Oliveira Junior akidaka mpira kwa ustadi kwenye mazoezi ya timu hiyo kufuatia kuripoti kambini mjini Ankara nchini Uturuki kwenye kambi ya timu hiyo kujiandaa na msimu.
0 comments:
Post a Comment