KIKOSI cha Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ambacho kipo nchini kwa mwaliko wa klabu ya Yanga leo kimemtembelea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi Ikulu visiwani humo.
KAIZER CHIEFS WAMTEMBELEA RAIS MWINYI IKULU ZANZÍBAR
KIKOSI cha Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ambacho kipo nchini kwa mwaliko wa klabu ya Yanga leo kimemtembelea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi Ikulu visiwani humo.
0 comments:
Post a Comment