KIUNGO mpya, Feisal Salum ‘Fei Toto’ akiwa katika mazoezi ya kwanza ya Azam FC mjini Sousse nchini Tunisia leo ambako wameweka kambi ya wiki tatu kuanzia jana kujiandaa na msimu mpya.
FEI TOTO SIKU YA KWANZA MAZOEZI YA AZAM TUNISIA
KIUNGO mpya, Feisal Salum ‘Fei Toto’ akiwa katika mazoezi ya kwanza ya Azam FC mjini Sousse nchini Tunisia leo ambako wameweka kambi ya wiki tatu kuanzia jana kujiandaa na msimu mpya.
0 comments:
Post a Comment